MADEE KUTOA VERSION MBILI ZA "POMBE YANGU" NA DVD KWA MASHABIKI SIKU YA UZINDUZI

Mwezi huu wa nne ndio mwezi ambao madee amepata mafanikio kwa mara nyingine tena, baada ya kuachia ngoma inayofanya vizuri sana kwenye chati mbali mbali na kwenye maskio na midomo ya watu wengi, hata kufikia kuingia katika nafasi ya kwanza kwenye best chat show bongo "top 20" ya Clouds Fm. Lakini pia ni mwezi ambao amezaliwa yeye, na kufikisha miaka yake...Read More
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment