VIDEO MPYA YA PSY (GENTLEMAN) SIKU MBILI TU VIEWS ZAIDI YA MILIONI 58

Mwanamuziki kutoka Korea ya Kusini ,Psy, anaeshikilia rekodi ya video iliyotazamwa zaidi kwa wimbo wake "Gangnam Style", sasa amerudi na kutoka na video nyingine ya wimbo unaoitwa "Gentleman". watu wengi wamekua wakizungumza kuwa Psy hawezi kuja kutoka na video nyingine ambayo itaweza kuipita Gangnam style, lakini yeye mwenyewe alipokuwa akizungumza na CNN leo hii amesema hatarajii kuja kupita mafanikio ya...Read More
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment