Nu Joint: Noorah feat Dully Sykes na Chegge "Acha Ushamba"

Noorah a.k.a Baba Styles amedondosha pini " Acha Ushamba" jipya akiwa na mtu mzima mzee wa kujishaua, Dully Sykes pamoja na mtoto wa kiumeni Chegge, fanya kuisikiliza.

Monday, November 4, 2013

Coming soon: Mansuli feat Nikki Mbishi na Belle 9

Underground King anaewakilisha Sinza Star, Mansuli anatarajia kudondosha pini jipya, this time akiwa na Nikki Mbishi na Belle 9, Stay tuned 

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment