SOMA>> Maswali   aliyoyajibu Diamond Platinumz kwenye ukurasa wa Facebook wa 'Coke Studio Africa' alipoalikwa kuchati na Mashabiki wake

Kuna wakati unapoalikwa sehemu kuongea au ku chati na mashabiki wako basi ni lazima uwe umejipanga kwa kila swali utakaloulizwa na kulijibu ipasavyo ili shabiki ajisikie furaha.
Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz hivi karibuni alipewa masaa kadhaa ya kuchati na mashabiki wake kupitia ukurasa wa facebook wa Coke Studio Africa.
 Miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni kuhusiana na Video ya remix ya My Number One,Mipango ya Ndoa,Msanii gani wa nje anayemkubali,Je atawasaidiaje wasanii wachanga kwenye soko la Muziki na mengine.
Haya ndio maswali  aliyokuwa akiyajibu Diamond Platinum kwa mashabiki yake


1Haruna Kihiyo:How about video of ukimwona

Diamond Platnumz:Nafikiria kuifanya sana kwa vile watu wameipenda sana.

2.Davril Darma:una mpango wa kuoa kaka?utarudiana na kumuoa mpenzi wako wa kuanza Wema maana ndiye aliyekupenda hata kabla ya mafanikio mengi?

Diamond Platnumz:Sina mipango ya ndoa bado #AskDiamondTz

3.Jackson Optaty Unamkubali msanii gani wa nje?

Diamond Platnumz:Usher Raymond


4Mfalme Wa Mwisho:Video ya my number one remix tutegemee lini na je una kundi la wasanii wachanga unaowalea under WCB? #cokestudioafrica

Diamond Platnumz:Subiri tu ...linakuja hivi karibuni. Tunafanya marekebisho kwenye video kisha itatokea hivi karibuni.

5. Jose Fly Joseph:Diamond me ni shabiki wako mkubwa xana bt heb niambie je unampango wowte wa kufanya ngoma yoyte na akina akon, jamaa ze2 wakarbu kina p square il uutangaze zaid mzk we2 kimataifa!

Diamond Platnumz Hivi karibuni.

6. Davril Darma #AskDiamondTz#CokeStudioAfrica.una mpango wa kuoa kaka?utarudiana na kumuoa mpenzi wako wa kuanza Wema maana ndiye aliyekupenda hata kabla ya mafanikio mengi?

Diamond:Sina mipango ya ndoa bado

7.Crown Prince Eric: What are you doing to help society even a little pal?

Diamond: I am starting a studio which will help upcoming artists and those who want to venture into music.”
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment