Alikiba adai haufahamu wimbo uitwao ‘Rosa’ uliotoka wiki hii- ‘sijatoa wimbo so far na sijui nani ameimba na sijawahi hata kuisikia’ (Audio)

Sina shaka kama wewe ni shabiki wa Alikiba hukujiuliza mara mbili kuupakua wimbo wa ‘Rosa’ ambao umesambaa wiki hii katika mitandao kama comeback ya star huyo aliyekaa kimya kwa muda mrefu. Lakini cha kushangaza ni kuwa Alikiba mwenyewe hautambui wimbo huo sababu hauko kwenye orodha ya nyimbo alizowahi kurekodi na wala hafahamu mtu aliyeuimba. Alikiba […]
more  Bongo5
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment