Msanii wa muziki wa kundi la Navy Kenzo na mtayarishaji wa muziki, Nahreel
amesema anatarajia kufungua studio pamoja na label ili kusaidia wasanii
wachanga. Nahreel ambaye anafanyia kazi zake ‘Home Town Records’ amekiambia
kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa muda umefika wa kumiliki studio na
record label. “Ukitaka kumuandaa msanii kama msanii lazima ukue […]
0 comments:
Post a Comment