Happy Birthday Diamond: Mmanyema mwenye uchaga kipesa, uhaya kisifa na uzungu kikazi

Kwa mujibu wa meneja wake Babu Tale, Diamond ni mmanyema mwenye uchaga kipesa, uhaya kisifa na uzungu kikazi. “Acha niseme hili tangu siku tunakutana mpaka leo aujawai kukosa kunipa shikamoo ni ishara ya heshima ya kweli na sio ya kuigiza,” ameandika Tale kwenye ujumbe wa kumpongeza staa huyo kwenye siku yake ya kuzaliwa, Oct 2.


10666280_304619959745459_704373199_n
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment