Mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu, amewajia juu watu wanaomtusi kupitia
mitandao ya jamii hasa wale wanaojulikana kama team fulani, akitaja kwa
majina "TeamDengue" baada ya kudhalilishwa kwa kuchorwa akiwa uchi na
kusambazwa mitaandaoni
Akizumgumza katika birthday ya mtoto wake iliyofanyika siku ya jumapili,
alianza kwa kuwashikuru wale wote waliohudhuria party hiyo n akuwaomba
kuendelea kumpenda Wema licha ya kuwa anatukanwa na kudhalilishwa
"Anaeanza nyie mnamaliza, isipokuwa msitukane, naomba kama mnaupendo
muendelee na upendo, mmeonyesha kama mnampenda Wema, Wema anatukanwa, W...
0 comments:
Post a Comment