
Kwenye album yake The Life of Pablo, ambayo ni album ya mwisho kutolewa na rapper Kanye West mwezi February, Kanye ali record mistary ya freestyle aliyoipa jina la "I Love Kanye". Basi imeleta utata huo wa kusababisha ajipe mapenzi mwenyewe.

Mwaka 2015 picha moja ya Kanye West akimpiga busu mke wake, Kim Kardshian, ilifanyiwa utengenezwaji na kutolewa kichwa cha Kim kisha wakaweka kichwa cha Kanye West kwenye mwili wa Kim nakuonekana rapper huyo akijipiga busu mwenyewe mdomoni.


0 comments:
Post a Comment