
Producer kutoka nchini Sweden anayefanya kazi na wasanii wa Bongo, Fundi Samweli amesema anatamani kufanya kazi na Ali Kiba na Diamond Platnumz. "Nilishawahi kuongea nao lakini sijapata muda wa kufanya nao kazi kwa sababu huwa nakuja Bongo na kukaa kwa muda mfupi sana,halafu pia siku hizi wasanii hao wamekuwa bize sana na shoo za nje ya nchi’’ Alisema Fundi Samweli.
-Clouds FM
0 comments:
Post a Comment