Chris Brown aichia rasmi Mixtape yake mpya 'X FILES' leo (Nov 19)
Chris baada ya kutoka Rehab siku chache zilizopita, sasa ameanza
kushughulikia project zake za muziki zilizosimama kwa muda,sasa leo
ameachia rasmi mixtape yake mpya aliyoipa jina la 'X FILES'.
Sikiliza nyimbo za mixtape hiyo hapa
Sikiliza nyimbo za mixtape hiyo hapa
0 comments:
Post a Comment