Meninah na Young D kung’arisha ‘Bilicanas Campus Night’ Ijumaa hii

unnamed 
Rapper Young D na muimbaji wa kundi la Shosteez, Meninah Atick watatumbuiza kwenye show ya ‘Bilicanas Campus Night’ itakayofanyika kwenye ukumbi wa Club Bilicanas Ijumaa hii. Akiongea na Bongo5, mratibu wa show hiyo, Raheem Da Prince ambaye pia ni brand manager wa Swahili Nation, amesema katika show hiyo watachaguliwa wale watakaokuwa wamependeza zaidi watapewa zawadi […]
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment