Wema afanya ziara ya ghafla katika Ofisi za Global Publishers pande za
Bamaga, Fanya kama unatizama hii video na utaelewa mchezo mzima.
Nanukuu walichoandika Global Publishers kuwenye Channel yao ya Youtube
" HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu
kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global
Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa
ni kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. "
0 comments:
Post a Comment