
Watangazaji wawili wa kipindi cha televishen "The View" wamewapa watazamaji
wao mshangao pale walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati show hiyo
ikiendelea
Sherri Shepard na Jenny McCarthy wliamua kubadilisha mambo na kutangaza
kipindi chao wakiwa uchi wa mnyama.
Watazamaji hawakuonekana kujali kutokana na tukio hilo na kuwapigia makofi
na kelele nyingi
its more about music industry and social issues in and out of bongo land
0 comments:
Post a Comment