Baba Levo apata ajali akiwa ndani ya basi la AM lililogongana na Coaster



Msanii wa kundi la 2mbili wa Town, Baba Levo amepata ajali baada ya basi la kampuni ya AM Coach alilokuwa amepanda kugongana na Coaster. Kwa mujibu wa Millardayo.com, ajali hiyo imetokea kwenye pori la kijiji cha Uluwila ambapo alikuwa anatokea Tabora kwenda Mpanda. Inadaiwa kuwa dereva wa Coaster alikuwa akikwepa barabara mbovu na hivyo kuhamia bara bara ambayo basi hilo lilikua na kusababisha kugongana uso kwa uso

anasema ameumia usoni na mwili kutokana na kukatwa na vioo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment