Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston

AY yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video mbili kama alivyoahidi hivi karibuni wakati anaachia wimbo wake mpya ‘It’s Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia. Mzee wa Commercial ameshare picha Instagram akiwa location na msanii Mjamaica-Mmarekani Sean Kingston na kuandika: “Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here […]AY-US2
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment