Alikiba amesafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kwenda kushoot video mpya.














*Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita. Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa kike. * its more about music industry and social issues in and out of bongo land
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment