Babu Tale, Chidi Benz na Kalapina]Meneja wa Diamond, Babutale akishirikiana Kalapina wamemchukua Chidi Benz na mkupeleka Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili kumsaidiwa kuacha matumizi ya madawa ya kulevya. Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni rapa huyo kuomba msaada baada ya kuona ameshindwa kukabiliana na matatizo ya kiafya ambayo yamekuwa yakimkabili. Kupitia instagram
Chidi Benz apelekwa Bagamoyo Sober House

0 comments:
Post a Comment