Video ya Raymond #KWETU katika utengenezaji wa Cover Photo shoot



 Screen Shot 2016-03-25 at 3.56.04 PM














Muziki wa bongo umekua sana kiasi kwamba mpaka sasa wasanii wetu wanaweza kufanya vitu vikubwa kwa 
ajili ya kupata kitu kizuri hii ni Video ya msanii mpya kutoka katika kundi la WCB chini ya usimamizi mzuri kabisa wa Diamond Platnumz So hii ni Video ambayo imeshootiwa tandale kwa ajili ya Photo Cover hebu fanya kuicheck uone jinsi cover ya kwetu ilivyo patikana na mazingira yake.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment