Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. Msanii ambaye ni Member wa kundi la P-Square, Peter Okoye ametoa single yake mpya akiwa kama solo artist wimbo unaitwa “Look Into My Eyes”. Ni wimbo wa R&B taarifa zinazidi kusambaa kuwa wasanii hawa wawili Peter na Paul wa P Square kwamba hakuna maelewano kwasasa

    ReplyDelete