5 BEST RAPPER/ MC KUTOKA BONGO

 Fid q, Ngosha the swagga don, leo hii amethibitisha ukubwa wa kazi zake na heshima kubwa anayoipata kutoka katika jamii inayofatilia burudani nchini.katika rappers/Mc bongo amethibitisha kuwa namba moja kupitia mtandao wa kijamii wa facebook na twitter, kwa kupata asilimia zaidi ya 90 ya kura zote, na kumfanya kuwa best of the best rappers / mc..huku akifatiwa na Stamina, Roma,...Read More
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment