
Free Music Player for Myspace at ReverbNation.com Chorus:Hili joto hasira, ambaaUpepo hakunaAmbaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa.Foleni njia nzima, ambaaNa pesa hakunaAmbaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaaVERSE 1:Kila siku nimenunaKwanini tunagombanaTena tunakosoana, kama tumechanganyikiwaNa sioni hata maanaYa si kuzinguanaYaani kila mtu anajua sanaAu yote sababu ya?, sababu ya? Rudia Chorus:VERSE 2:Mazao twalima woteSahani wavuta kwakoKama chakula tule woteKwanini chote kije kwakoKisu mpini umeshika weweVitisho...
Read More
0 comments:
Post a Comment