DOGO JANJA: NI MARA YA YANGU YA KWANZA KUDONDOKA SOUTH SO AMBAO BADO HAMJATOBOA KIMZIKI KAZENI
Dongo janja ambae kwa sasa yuko chini ya usimamizi wa Mtanashati Entertainment na Ostz Juma na musoma, ameshadondoka nchini Africa ya kusini kwa ajili ya kuanza kazi moja tu ambayo imempeleka huko, ikiwa ni makamuzi kwa kwenda mbele, na akisisitiza kuwa show yake ya kwanza itafanyika ndani ya cape town. janjaro anaonekana kwenye picha kupokelewa vizuri na mashabiki wake na watanzania...Read More
0 comments:
Post a Comment