MASHABIKI WAIKATAA VIDEO YA OMMY DOMPOZ

 Siku chache baada ya kuachia video yake iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa bongo fleva, matokeo yake yamekuwa sio mazuri kwa Ommy Dimpoz na video ya wimbo wake wa me and you, aliyoshoot na kampuni kutoka Kenya inayoitwa Ogopa, huku akiwa ameishoot katika maeneo ya huko huko kenya. haya ni baadhi ya maoni juu ya video ya wimbo huo kwa maoni zaidi...Read More
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment