
Mashabiki wa Justin Bieber wameamua kufika mwisho sasa, walichukulia poa alipoonekana akitembea kifua wazi mitaa ya London licha kuwa ni baridi, walichukulia poa pia waliposkia anavuta bangi, lakini alipokuja kwenye show masaa mawili baadae, waliona sasa amezidi na kuamua kumchenjia na kumzomea jukwaani show ya Justin iliyofanyika London siku ya jumatatu, ilitakiwa kuanza saa mbili na nusu usiku, haikufanikiwa kuanza time..
0 comments:
Post a Comment