Wengi mlikuwa mmeshamzoea na pini zake za ku-rap, lakini time hii
amedondosha single mpya dizaini kama anaimba hivi. Ni Mabeste na dude
linaitwa Headache , chini ya studio za Upraise Music.
its more about music industry and social issues in and out of bongo land
0 comments:
Post a Comment