Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda nchini
Nigeria (March 30) kwaajili ya kufanya video ya wimbo wake mpya aliofanya
collabo na mastaa wa huko. Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao
Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana na
meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa […]
0 comments:
Post a Comment