Yasin Ngituat - Rapper mkongwe, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya ameingia kwenye orodha ya
wahalifu wanaotafutwa na jeshi la polisi jijini Mwanza baada ya kumkata
mama yake mkubwa sikio akidai ni mchawi. Akizungumza na ‘You Heard’ ya
Clouds FM jana mdogo wake wa tumbo moja na Dudu Baya, Mueta amesema juzi
majira ya saa nne asubuhi jijini Mwanza […]
0 comments:
Post a Comment