Baada ya kutoa remix ya dear gambe na kupiga kiki ndefu na kubwa..pia akaja
kutoa wimbo mkali na mkubwa TRAVELLER akimshirikisha kaka yake wa damu
DARASA..pia tena akuishia apo akaja kutoa wimbo mwingine wa taifa
uliomfanya ajulikane zaidi na zaidi BORA BABA ANGEKUWA MBUNGE, ambao wimbo
huo pia ulimuwezesha kumpa wadhamini wa muziki wake pamoja na wadhamini
ambao walisimamia mavazi yanayoenda kwa jina la wimbo huo sasa bwana mdogo huyo ambae anawaumiza sana vichwa ma
Young Rappers wenzie kama Young Killer na Young Dee, ameamua kuja na kibao
kingine cha t...
0 comments:
Post a Comment