Queen Darleen aelezea sababu za kupoteza fahamu kwenye show ya uzinduzi wa video yake

http://2.bp.blogspot.com/-YhjbjFbvU1A/T3bmfXOWiWI/AAAAAAAAGQg/gzvZDKNnnok/s400/1
Furaha, pressure, ukumbi kujaa kuliko alivyotarajia na surprise kutoka kwa kaka yake Diamond Platnumz kwenye ukumbi wa Bilicanas Jumapili iliyopita kwa pamoja vilimfanya Queen Darleen apoteze fahamu. Akiongea na Bongo5, Queen amesema wakati anajiandaa kupanda stejini alishangaa kumuona Diamond akipanda stejini na Shetta wakati alikuwa anafahamu kuwa kaka yake huyo yupo nchini Nigeria. Amesema sababu
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment