FROM djfatty at DJ Fetty - 14 hours ago
Baada ya kufika Nchini Nigeria katika uzinduzi wa wimbo wa One Campagn
"Cocoa na Chocolate" nilipata nafasi ya kukutana na wasanii mbali mbali
akiwemo msanii mkubwa wa Hiphop anaeitwa M.I na hiki ndicho
alichokizungumza kuhusu kinachowalipa wasanii wa huko.
its more about music industry and social issues in and out of bongo land
0 comments:
Post a Comment