Home / Uncategories / Picha: Fid Q na Young Killer waingia mtaani kushoot video ya ‘13’ muongozaji ni..
Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo, inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!! Wakandarasi Nisher na Young Killer wakijadiliana kitu
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment