Wimbo mpya wa Rich Mavoko "Toto Nunda" Adam Juma ahusika

























Huku "Pacha Wangu" ikiwa bado ya moto kijana wa Kitanzania Richa Movoko ameingia mzigoni kutengeneza Video ya wimbo wake mwengine unaoitwa "Toto Nunda". Kupitia kurasa yake ya Instagram Movoko amepost picha akiwa location huku akiwa kwenye muonekano tofauti na alivyozoeleka wa kupendeza bali hapo ameonekana Kinunda zaidi. Director Adamu Juma ameonekana kuhusika na Video hiyo kwenye hiyo picha so tafsiri inaonesha Adam ndie anae shoot Video hiyo ya "Toto Nunda" Huu ni muendelezo wa kumtumia Director Adam kwenye video nyengine tena baada ya "Pacha Wangu" kupokelewa kwa shangwe za ... more »
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment