Hassbaby Mapacha at Hassbaby's (Mapacha) -

*7/10/2014 – Dar es salaam: *Msanii maarufu namba moja wa Africa Mashariki
wa nyimbo za injili amefyatua kibao cha pili kingine kilichotengenezwa
katika studio za Sony Music Africa, ambapo kibao cha kwanza kiliitwa Wololo
kilichobeba albam ya Yesu Kung’uta chini ya usimamizi wa Rock star 4000 na
kupatikana rasmi kupitia kampuni ya Mkito.com
https://mkito.com/song/jiwe/2740/bwi-4-1593
Wimbo wa jiwe umetengenezwa na kuchezwa na Rose Muhando ambapo kupangiliwa
na kuzalishwa na Yusuph Mayige katika Studio ya Sony Music Afrika na
kuendelezwa na kuongezewa vionjo na Rockstar 4000.
" R... more »
0 comments:
Post a Comment