Binti ajirekodi video akibakwa na Baba yake ili amthibitishie Mama yake kuwa hakuwa akimdanganya


 post-feature-image














Binti wa miaka 18 alilazimika kurekodi video wakati anabakwa na Baba yake mzazi mwenye miaka 53, kwa matumaini kuwa mama yake mzazi atamuamini na itapelekea kushikiliwa chini ya ulizi kwa Baba yake huyo.

Binti huyu kutokea wilaya ya Jalaun huko Uttar Pradesh, Kaskazini mwa India, Alimrekodi Baba yake wakati anambaka kwakutumia simu yake ya mkononi baada ya kuteseka kwa kitendo hicho alicho fanyiwa tangu akiwa na miaka 14.

Binti huyu alilalamika kuwa Mama yake mzazi na Dada yake hawakuwahi kamwe kumuamini maneno aliyo kuwa akiwaambia kuwa Baba yake alikuwa akimuingilia nakufanya naye Ngono kiulazima 'Sexually assaulting'.

Binti huyu alisema kuwa ilimlazimu afanye kurekodi tendo zima la uzalilishaji kwake kutoka kwa Baba yake mzazi ilimradi tu kuweza kuthibitisha ukweli wa mambo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment