Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Bongo fleva,
Diamond Platnumz, Baada ya kumaliza tour za hapa nchini kuusambaza wimbo wa
Kwetu aliouimba msanii mpya katika label ya
Wasafi ameamua kuichukua familia yake akiwemo Mama yake mzazi,
Zari na
Tiffah ambaye ni mtoto wake pamoja na member wengine wa
Wasafi akufanya tour ulimwenguni waliyo iita #FromTandaleToTheWorldTour.

Diamond akiwa na Romy

Diamond Akiwa na mama yake Bi Sandra

Diamond, Zari na mtoto wao Tiffah






0 comments:
Post a Comment