Vanessa Mdee Kuachia Ngoma mpya "Niroge" Alhamis hii

Ni Muondoka wa kitu baada ya kitu wengi wanapenda kumuita V money au Vanessa Mdee kama wengi wanavyo mfahamu baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya "Never Ever" ambayo ilikuwa gumzo mjini sasa Alhamis hii atatambulisha ngoma yake mpya.

 1739411_726651734138327_675122989_n

Ni Ngoma ambayo imefanya katika Studio za The Industry Chini ya Producer Ambae ametengeneza Hits kibao kama vile; Zigo remix ya AY na Diamond , Don't Bother ya Joh makin na nyingine nyingi hapa namzungumzia Nahreel  Kaa Tayari kuipakua kupitia blog yetu ya Cs Media Group




Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment